SERIKALI imeongeza muda wa miezi sita kwa Makampuni kuwasilisha taarifa za wamiliki manufaa wa Kampuni .

SERIKALI imeongeza muda wa miezi sita kwa Makampuni kuwasilisha taarifa za wamiliki manufaa wa Kampuni kwa Wakala wa usajili wa biashara na leseni(BRELA)kuanzia Januari Mosi Mwaka huu hadi Juni 2022. Waziri mwenye dhamana ya Viwanda na biashara Profesa Kitila Mkumbo ametangaza uamuzi huo hii leo Jijini Dodoma wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuongeza